Chanzo cha vita kati ya urusi na ukraine






Sababu ya mzozo wa Urusi na Ukraine

Mzozo kati ya Urusi na Ukraine ulianza takriban miaka 8 nyuma ukihusisha vikundi vya wanaotaka kujitenga vinavyosaidiwa na Urusi kwa upande flani na Ukraine kwa upand flani. Mzozo huo unahusu hasa hadhi ya Crimea na Donbas.


    

Mzozo kati ya Urusi na Ukraine ulizuka kuanzia 2021 hadi 2022, ilipodhihirik wazi kwamba Urusi inazingatia kuanzisha uvamizi wa kijeshi dhidi ya Ukraine. Mnamo Februari 2022, mgogoro huo ulizidi kua mkali sana kiasi ambapo mazungumzo ya kidiplomasia hayakufanikiwa na Urusi ikapeleka jeshi katika maeneo ya wanaotaka kujitenga Februari 22 2022. Februari 24, Urusi ilianzisha uvamizi kamili dhidi ya Ukraine


  Nitakuletea mtitririko wa kile kinachoendelea Ukraine na urusi katika posti zijazo

Comments

Popular posts from this blog